WEBNDERD BLOG

Unawezaje kupata pesa au faida kwa kumiliki blogu?

Unataka kutenegeneza pesa kirahisi sio?, bila shaka, kila mtu anataka kutengeneza pesa halali imsaidie kusukuma maisha yake ya kila siku. Pengine umewahi sikia kuwa ukimiliki blogu ama tovuti unaweza kutengeneza pesa kirahisi?, ndio yawezekana kutengeneza pesa kirahisi kwa kutumia blogu, ila usiwe na shauku sana maana si rahisi tu. Wasomaji wangu wengi wamenitumia ujumbe na […]

Tumia program za Windows kwenye Linux!

Linux ni moja kati ya mifumo mashuhuri ya uendeshaji kompyuta, imekua ikitumika tangu miaka ya 1984. Programu hii hupatikana bure kabisa na katika ladha tofauti zinazofahamika kama ditros, kati ya distro maarufu sana duniani ni Ubuntu, Linux Mint, na fedora. Tofauti na Windows au Mac za Apple, kwenye Linux programu zote waweza pata bure pia […]

Mfumo wa uendeshaji kompyuta

Mfumo wa uendeshaji kompyuta (Computer Operating System) ama waweza kuita mfumo endeshi ya kompyuta ndio programu muhimu inayowezesha kompyuta kufanya kazi. Mfumo huu ndio unasimamia vifaa vyote kwenye kompyuta na kuwezesha programu zingine kutumia vifaa hivyo kutimiza kazi inayopaswa kufanya. Inasimamia kumbukumbu, michakato na kila kitu cha kukurahisishia wewe mtumiaji kuwasiliana na kompyuta pasi na […]

Kompyuta ni nini?

Umeanza kutumia kompyuta?, je una maswali unaposikia watu wanasema maneno na misamiati ya kompyuta na ukashindwa kuelewa?, bas makala hii itajadili mada yenye kutambulisha kwako mambo muhimu yanayohusu kompyuta. Usiwe na hofu, kwa sababu tulipofikia kwa sasa hatuwezi kukwepa kutumia kompyuta, hivyo ukiwa na uelewa kidogo tu utakaojifunza hapa, utafahamu kompyuta ni nini na utabaini […]

How to add currency format in MS Excel.

Hi there, Today i will show the simplest and ultimate way of adding none available local currency format in Microsoft Excel. This actually a Windows tip in general, for some countries like Tanzania we don’t have a currency symbol like $ which are special characters, so we have for example TShs 800.00. You may ask […]

VIDEO: Tumia Windows kwa Kiswahili

Habari, Je!, wewe ni mpenzi wa lugha ya kiswahili?, na ungependa kutumia kompyuta yako au kifaa cha cha windows kikiwa na lugha hiyo?. Mikrosoft windows ana kifurushi cha lugha yetu pendwa na kinaweza kutumika kwenye kompyuta yako. Kwenye makala hii nitakuonyesha namna unaweza kufanya kompyuta yako yenye Windows 8 ambayo pia inafanana na baadhi ya […]

Jinsi ya kusanikisha Movie Maker kwenye Windows 8

Habari wadau, ni muda sasa umekwenda lakini si mbaya leo tukijifunza kitu pia. Umewahi kujiuliza Video zinafanyiwa vipi editing?. Kama ndio bila shaka umeshafahamu kuwa Editing inafanyika zaidi kwenye Computer, na kuna programs au software ambazo nyingi ni ghali kuzinunua ambazo zitakuwezesha kufanya jambo hilo. Kabla hatujazifahamu programu zinazotumika kwa shughuli hiyo, kwanza tujifahamishe kuhusu […]

Usiogope kufungua tovuti sababu ya utofauti wa Lugha!

Ndio, nafahamu kuwa tovuti nyingi zina lugha za kigeni, tena tovuti hizi mara nyingi ndio zenye tija hasa!, lakini watumiaji wa kitanzania walio wengi wanafahamu kingeereza pia, vipi sasa wakikuta tovuti ina lugha ya kifaransa ama kireno, au kichina kabisa?, Kwa harak haraka mtu huyu atafunga tu huo ukurasa na kuperuzi kurasa zingine! Usiogope, unaifahamu […]

Jinsi ya kuanzisha Blogu – hatua kwa hatua!

Mimi najua, kuanzisha blogu inaweza kuwa na utata. Miaka michache iliyopita, wakati mimi naunda blogu yangu ya kwanza, nilikuwa najua machache kuhusu matumizi ama umuhimu wake. Kwa kuwa nilikuwa ni msomi wa kompyuta hivyo nilishaona mara kwa mara blogu zikitoa maelekezo juu mambo mbalimbali yahusuyo na hata yasiyohusu kompyuta. Kwa sasa, nimekuwa nikishuhudia blogu nyingi […]

Jinsi ya kuitumia google kupata unachokihitaji kirahisi zaidi!

Habari,  tovuti hii www.google.com ni moja kati ya zana zangu muhimu sana tangu nianze kutumia wavuti(internet). Achilia mbali kutafuta mambo mbalimbali, pia napata hiduma nyingi sana ambazo nitakuwa nawaeleza kadri siku zinavyokwenda, kwa leo ningependa kuhusisha njia ninazozitumia mara kwa mara kupata ninachokitaka kirahisi zaidi. 1. kitufe cha leo ni siku yangu (i’m feeling luck) Kitufe hiki […]

© 2024, WEBNERD SOLUTIONS